Kocha wa zamani wa timu ya
taifa ya Uingereza,
Fabio Capello
ndiye anaongoza kwa kulipwa vizuri miongoni mwa makocha
wote wa timu za taifa zinazoshiriki Kombe la Dunia mwaka huu nchini Brazil.
Kocha wa timu ya taifa ya Uingereza, Roy Hodgson analipwa pauni Milioni 3.5 kwa mwaka.
Post a Comment