UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 2014: MATOKEO YA AWALI KUTOKA NCHI NZIMA

                              

Kama tunavyofahamu leo ni siku ya upigaji kura kwa ajili ya kuwapata viongozi wetu kwa ngazi ya serikali za mitaa Tanzania Bara, Muda si mrefu tutaingia kwenye awamu ya pili ya utangazaji matokeo baada upigaji kura, tutasaidiana hapa kukusanya matokeo kadri yanavyotolewa.
=====================

Monduli; Kitongoji Kambi ya Mkaa

CHADEMA 27
CCM 13

Mwanga Mtaa wa Lwami; 

CHADEMA 55 
CCM 35

Arumeru Magh. Kitongoji Endulele

CHADEMA 170

CCM 130

Ushirombo mjini;

CHADEMA inaongoza vitongoji 10
CCM inaongoza vitongoji 4

Moshi Manispaa; Kitongoji Longuo A

CHADEMA 206
CCM 66

Mbozi Mtaa wa Mbugani

CHADEMA 227
CCM 160

Mbozi; Mtaa Masaki

CHADEMA 99
CCM 

Wilaya ya Kyela
KITONGOJI CHAMA KILICHOSHINDA

Butiama- CHADEMA
Kyela kati -CHADEMA
Roma -CHADEMA
Mikoroshoni -CCM
Mbugani -CHADEMA
Nazareti -CHADEMA
Unyakyusa -CCM
Kapwil- CCM
Itunge mashariki -CCM
KEIFO -CCM
OROFEA -CHADEMA
SAMA B -CCM
Mikumi -CHADEMA
Mwaikambo -CHADEMA
Kilasil- CCM
Mkombozi -CHADEMA
Bondeni A-CCM
Bondeni B-CHADEMA
Itunge-Mundekesye CHADEMA

NB Uchaguzi uliopita WAPINZANI HAWAKUPATA viti zaidi ya 5 Kyela lkn uchaguzi huu watapata viti vingi mno,hii ni dalili mbaya sana kwa CCM uchaguzi mkuu mwakani


chanzo: jamiiforum

0/Post a Comment/Comments